Ni mibaraka kwa MUNGU wetu kwani ilikuwa baada ya ibada nzuri ya sabato,wana na binti za MUNGU walikusanyika kwa upendo kutoa huduma hii kwa watoto walio katika magereza haya Upanga.
Kundi la wanafunzi wa Tucasa ifm kufanya huduma kwa jamii kwenye gereza la watoto Upanga

No comments: