Kikao hiki kilifanyika kwenye chuo cha usimamizi wa fedha Ifm ambako hapa ni chuo chetu na Mungu ametujalia uzima kwani kikao hiki kilikuwa ni mahsusi kufanya uinjilisti ndani na nje ya chuo chetu na kuangalia rasmali tulizonazo kwa ajili ya mpenzi wetu Yesu apate okoa watu wengi na wote wapate uzima na tena wawe nao tele...
Picha za viongozi wa Tucasa ifm wakiwa wamemaliza kikao kilichofanyika mapema mwishoni mwa mwaka jana 2013

No comments: