Ni
siku ya furaha sana kwani kulikuwa na baraka za wageni toka madhehebu
mengine mbalimbali na wenyeji wao ambao ni WAADVENTISTA WASABATO,vipindi
hivi vilianza na changamoto ya uchache wa watu,lakini ajabu
kubwa,wanafunzi wa MUHIMBILI wakiwa ni jeshi kubwa walifika mara baada
vipindi kuanza.....
Vipindi
vilianza kwa uimbaji,ambapo kama vile ilivyokuwa kawaida ya kiumbe
binadamu hupenda sana kusikiliza mziki,na hapa kulikuwa na vikundi vingi
na kwa huduma hii,watu walikuwa na shauku kuendelea tu na kuimba mpaka
lakini muda haukuwa rafiki mahali hapa..
|
the wave junior-brothers toka MUHIMBILI |
|
THE WAVE SENIOR BROTHERS TOKA MUHIMBILI |
|
KATIKATI NI GODFREY OTIENO NA WENZAKE WAKIIMBA |
|
baadhi ya wanakwaya ya IFM wakiimba |
|
washiriki wakifatilia kilekinachojili |
|
PICHANI:kulia ni mwenyekiti wa TUCASA-IFM na kushoto ni mwinjilisti BARAKA ambae pia ndie alikuwa mhubiri kwa siku hii... |
Baada ya kipindi cha uimbaji tulipata shuhuda kwa kazi hii ilivyofanyika
maeneo ya chuo ya IFM ni kwa wanafunzi na walimu pia...Kuliteuliwa
wawakilishi kuja kueleza kile kilichofanyika ambapo walieleza mambo
yafuatayo juu ya kazi hii ya utume;
- Kazi
ya utume hii ilihitaji nguvu ya ROHO MTAKATIFU kwa walimu na maprofesa
wa dini kama waiskamu walikataa ujumbe hasa hawakupenda kusikia
jina YESU likitajwa mahala hapa..
- Muda
pia nao ulikkuwa ni changamoto kwani vipindi huingiliana na kzi
hii,wakati kazi inaendelea pia kulikuwa na vipindi vinaendelea katika
madarasa kwa washiriki wa huduma hii.... Mwisho vipindi hivi
vilihitimishwa na taarifa fupi toka kwa MWENYEKITI wa TUCASA-IFM,hapa
alinza kwa kusema kuwa kazi hii ya uinjilisti wa kugawa vitabu na
vijizuu,ambapo kati ya vitabu vya TUMAINI KUU 92,vitabu 82 viligawawiwa
na vijizuu kati ya maboxi na sasa vimebaki vya kushika mkononi..
No comments: