Ni huduma ya kuvuta watu kwa BWANA kwa kusambaza ukweli wa neno lake kwa njia ya vitabu ambavyo ni neno takatif toka kwenye vitabu vya unabii viitwavyo Tumani Kuu kwa Lugha ya kiswahili na kingereza...
Huduma hii leo imefanyika katika mazingira jirani na kanisa la Mzizima na kando kidogo na maeneo haya,huku watu wakiitikia mwito na shauku ya kuvichukua vitabu hivi.
KUTOKA KUSHOTO NI HOLLO MASANJA,ELISHA NGUSSA NA IAN ERICK WAKIWA TAYARI KWA HUDUMA YA UGAWAJI VITABU SIKU HII |
No comments: