Select Menu

clean-5

HUDUMA KWA JAMII

KAZI YA UTUME

MATUKIO

UAMSHO NA MATENGENEZO

IDARA ZETU

HUDUMA KWA JAMII

» » MUNGU BABA ZIDI KUTETEA MASHUJAA WAKO SASA...

BAADHI YA WANACHUO WA CHA USIMAMIZI WA FEDHA(IFM) WAKISIKILIZA MANENO YA FARAJA TOKA KWA MCHUNGAJI YOYO KATIKA MOJA YA SIKU ZA KUFUNGA NA KUOMBA... 

 Miongoni mwa mapito katika maisha tena hasa ya kielemu ni haya,kupangiwa mitihani siku ya Sabato na pia kujikuja mitihani hii tena ukiomba ibadilishwe inapangwa tena siku ya Sabato..
Leo ni miongoni wa maombi ya mfungo ambayo pia yameenda sambamba na neno la faraja toka kwa Mchungaji Yoyo ambaye ni Mchungaji mlezi wetu wanafunzi wanachuo Waadventista Wasabato kwa kanda hii ya Dar Es Salaam..
Hili ni kundi dogo tu kati ya mengi Duniani,tukitokea Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),tulipangiwa mitihani siku ya Sabato na tukaandika barua,baadhi yetu hawakujibiwa na waliojbiwa bado wamepangiwa masaa ya Sabato..
Waijua imani yako lakini wito mkuu ni UFUNUO 14:12"12 Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu."zidi kuombea kundi hili na BWANA akubariki...

About TUCASA IFM

Ni vijana wakiadventista wasabato toka katika chuo cha usimamizi wa fedha (IFM). Kwa idadi ya wanachama takribani mia na therasini,tumeweza fanya uinjilisti ndani na nje ya chuo kwa msaada wa karibu toka kanisa lezi la Mzizima,Upanga. "Biographical Info"M/kiti-Israel Mchome,M/kiti msaidizi-Lushiinge Simon
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply

UAMSHO NA MATENGENEZO