| Mwenyekiti wa Tawi la Tucasa ifm akitoa utambulisho kwa wageni na wenyeji waliohudhuria katika changizo hili katika ukumbi wa shule ya msingi Zanaki-Upanga Dar es salaam |

| Elia Ngeleja mwenyekiti wa Tucasa kanda ya Dar Es Salaam akitoa utambulisho kwa wageni waliokuja leo na akimpa nafasi mwalimu Mwakalonge kwa maneno machache. |
| Elia Mwakalonge ni kiongozi wa vijana(master guide)na mwalimu akitokea mji wa kibaha hapa akitoa mafunzo juu ya vijana. |

No comments: