Select Menu

clean-5

HUDUMA KWA JAMII

KAZI YA UTUME

MATUKIO

UAMSHO NA MATENGENEZO

IDARA ZETU

HUDUMA KWA JAMII

MORNING STAR MUSIC GLORIOUS AWARDS 2015

CHANGIA IFM YAFANYIKA KATIKA KANISA LA MZIZIMA DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Tawi la Tucasa ifm akitoa utambulisho kwa wageni na wenyeji waliohudhuria katika changizo hili katika ukumbi wa shule ya msingi Zanaki-Upanga Dar es salaam
Mwenyekiti wa Tawi la Tucasa ifm akitoa utambulisho kwa wageni na wenyeji waliohudhuria katika changizo hili katika ukumbi wa shule ya msingi Zanaki-Upanga Dar es salaam
Elia Ngeleja mwenyekiti wa Tucasa kanda ya Dar Es Salaam akitoa utambulisho kwa wageni waliokuja leo na akimpa nafasi mwalimu Mwakalonge  kwa maneno machache.
Elia Mwakalonge ni kiongozi wa vijana(master guide)na mwalimu akitokea mji wa kibaha hapa akitoa mafunzo juu ya vijana.
Elia Mwakalonge ni kiongozi wa vijana(master guide)na mwalimu akitokea mji wa kibaha hapa akitoa mafunzo juu ya vijana.

HATIMAE WANAFUNZI MWAKA WA KWANZA WAHUDUMU IBADA YA PAMOJA YA KUFUNGUA SABATO NA TUCASA IFM FAMILY

Mwaka wa kwanza wakiimba nyimbo za kristo 172 na 51 wakati wa ibada ya kufungua sabato katika ukumbi wa St Alban Posta mkabala na Holy day inn

TOLEO LA WIMBO"ONGOZA MAPITO" MWIMBAJI GWIRISHA MJEMA

TUCASA TANZANIA UNION RETREAT 2014:LEO SAFARINI KWENDA DODOMA

THEME : "Be Faithful Unto Death" M/ SPEAKER: Pr. MwakalongeA/ SPEAKERPr. Malekana, AFYAProf Gesase . UJASIRIAMALI: PR. Mange,  UCHUMBA/MAHUSINIANO: PR. Kingamkono NDOA: MR$MRS ANKO CHRISS BUHATWA. SELF ESTEEMMAMA RUTH IYEMBE. ADVENTIST LIFE STYLEMWL KAZAGATA  ,    
 Main Text: Revelation 2:10,   Reatreat SongNo 73, ""Bwana Uniongoze juu""

>>Retreate hii kuanza kesho tarehe 18 APRIL HADI 21 APRIL 2014<<

MWENYEKITI WA TUCASA IFM ISRAEL MCHOME AKIWA KATIKA USAFIRI TOKA DAR ES SALAAM KWENDA DODOMA

ANNA,MHAZINI WA TUCASA IFM KATIKA SAFARI KWENDA DODOMA

TUCASA IFM WASHIRIKI HARUSI YA PILI NA YUDA HUKO MAGODANI KUNDI LA MZIZIMA SDA CHURCH

Harusi ya wapendwa hawa imefanyika leo MAGODANI nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na wanafunzi waadventista wasabato toka chuo cha usimamizi wa fedha (IFM ) walishiriki mahali hapa.

MAHARUSI WAKIWA NA WATOTO WANAOSIMAMIA HARUSI HIYO

FAMILIA YA IFM WAKITOA ZAWADI SIKU HII YA FURAHA,KUTOKA KUSHOTO NI RUTH,ISRAEL,MJEMA NA HAPPY

DADA HOLLO AKIWA KATIKA MAJUKUMU

MAHARUSI WAKIWA NA WASIMAMIZI WAO

TUCASA TANZANIA UNION RETREAT 2014

MCHUNGAJI MWAKALONGE

CHRISS BUHATWA AKIFANYIWA MAHOJIANO NA MTANGAZAJI MAHUDU

MCHUNGAJI KINGAMKONO

MCHUNGAJI MALEKANA

THEME : "Be Faithful Unto Death"

 M/ SPEAKER: Pr. Mwakalonge, A/ SPEAKER: Pr. Malekana,

AFYA: Prof Gesase . UJASIRIAMALI: PR. Mange, 

UCHUMBA/MAHUSINIANO: PR. Kingamkono,

 NDOA: MR$MRS ANKO CHRISS BUHATWA.

 SELF ESTEEM: MAMA RUTH IYEMBE.

 ADVENTIST LIFE STYLE: MWL KAZAGATA  ,  

  GHARAMA:  65000/=    Dead line  8/3/2014

 Main Text: Revelation 2:10,   Reatreat Song: No 73, ""Bwana Uniongoze juu""

UNIVERSTY OF DODOMA 

AUDIO-CD YA VIJANA WAKIADVENTISTA WASABATO WASOMAO CHUO CHA UDAKTARI-MUHIMBILI HII HAPA

KWA MAULIZO NA MSAADA ZAIDI,WASILIANA KWA NAMBA +255752 813 70

6

WATOTO WA WACHUNGAJI AMBAO PIA NI WACHUNGAJI WAKIIMBA

NI KATIKA IBADA YA SHULE YA SABATO YA WATENDAKAZI WA SHC MKUTANO ULIYO ANZA JUMATATU NA UNAO TENGEMEWA KUISHA LEO

MKUTANO HUO UNAENDELEA KATIKA UKUMBI WA COFFEE GARDEN ULIOPO JIJINI MBEYA.
— with Christopher Ungani.

UAMSHO NA MATENGENEZO