Select Menu

clean-5

HUDUMA KWA JAMII

KAZI YA UTUME

MATUKIO

UAMSHO NA MATENGENEZO

IDARA ZETU

HUDUMA KWA JAMII

MORNING STAR MUSIC GLORIOUS AWARDS 2015

CHANGIA IFM YAFANYIKA KATIKA KANISA LA MZIZIMA DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Tawi la Tucasa ifm akitoa utambulisho kwa wageni na wenyeji waliohudhuria katika changizo hili katika ukumbi wa shule ya msingi Zanaki-Upanga Dar es salaam
Mwenyekiti wa Tawi la Tucasa ifm akitoa utambulisho kwa wageni na wenyeji waliohudhuria katika changizo hili katika ukumbi wa shule ya msingi Zanaki-Upanga Dar es salaam
Elia Ngeleja mwenyekiti wa Tucasa kanda ya Dar Es Salaam akitoa utambulisho kwa wageni waliokuja leo na akimpa nafasi mwalimu Mwakalonge  kwa maneno machache.
Elia Mwakalonge ni kiongozi wa vijana(master guide)na mwalimu akitokea mji wa kibaha hapa akitoa mafunzo juu ya vijana.
Elia Mwakalonge ni kiongozi wa vijana(master guide)na mwalimu akitokea mji wa kibaha hapa akitoa mafunzo juu ya vijana.

HATIMAE WANAFUNZI MWAKA WA KWANZA WAHUDUMU IBADA YA PAMOJA YA KUFUNGUA SABATO NA TUCASA IFM FAMILY

Mwaka wa kwanza wakiimba nyimbo za kristo 172 na 51 wakati wa ibada ya kufungua sabato katika ukumbi wa St Alban Posta mkabala na Holy day inn

TOLEO LA WIMBO"ONGOZA MAPITO" MWIMBAJI GWIRISHA MJEMA

KARIBU KATIKA IBADA YA KUFUNGUA SABATO KILA IJUMAA

MUNGU BABA ZIDI KUTETEA MASHUJAA WAKO SASA...

BAADHI YA WANACHUO WA CHA USIMAMIZI WA FEDHA(IFM) WAKISIKILIZA MANENO YA FARAJA TOKA KWA MCHUNGAJI YOYO KATIKA MOJA YA SIKU ZA KUFUNGA NA KUOMBA... 

 Miongoni mwa mapito katika maisha tena hasa ya kielemu ni haya,kupangiwa mitihani siku ya Sabato na pia kujikuja mitihani hii tena ukiomba ibadilishwe inapangwa tena siku ya Sabato..
Leo ni miongoni wa maombi ya mfungo ambayo pia yameenda sambamba na neno la faraja toka kwa Mchungaji Yoyo ambaye ni Mchungaji mlezi wetu wanafunzi wanachuo Waadventista Wasabato kwa kanda hii ya Dar Es Salaam..
Hili ni kundi dogo tu kati ya mengi Duniani,tukitokea Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),tulipangiwa mitihani siku ya Sabato na tukaandika barua,baadhi yetu hawakujibiwa na waliojbiwa bado wamepangiwa masaa ya Sabato..
Waijua imani yako lakini wito mkuu ni UFUNUO 14:12"12 Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu."zidi kuombea kundi hili na BWANA akubariki...

FAMILY MUSIC WAJIANDAA NA VIDEO YA ALBAM MPYA

Family music ni  moja kati ya vikundi vya uimbaji  kinachoundwa na jumuia ya vijana waadventista wa sabato kutoka katika maeneo mbalimbali ya Union ya Kusini mwa Tanzania wakiongozwa na ndugu Ike Eric ambaye ni mwenyekiti wao.

Albam hii imebeba jina la 'Usihuzunike' ina nyimbo nane ambazo ni , 

  • Tazama Nasimama

  • Twakusifu

  • Ninaimba  wema wa Mungu.na nyinginezo

TUCASA TANZANIA UNION RETREAT 2014:LEO SAFARINI KWENDA DODOMA

THEME : "Be Faithful Unto Death" M/ SPEAKER: Pr. MwakalongeA/ SPEAKERPr. Malekana, AFYAProf Gesase . UJASIRIAMALI: PR. Mange,  UCHUMBA/MAHUSINIANO: PR. Kingamkono NDOA: MR$MRS ANKO CHRISS BUHATWA. SELF ESTEEMMAMA RUTH IYEMBE. ADVENTIST LIFE STYLEMWL KAZAGATA  ,    
 Main Text: Revelation 2:10,   Reatreat SongNo 73, ""Bwana Uniongoze juu""

>>Retreate hii kuanza kesho tarehe 18 APRIL HADI 21 APRIL 2014<<

MWENYEKITI WA TUCASA IFM ISRAEL MCHOME AKIWA KATIKA USAFIRI TOKA DAR ES SALAAM KWENDA DODOMA

ANNA,MHAZINI WA TUCASA IFM KATIKA SAFARI KWENDA DODOMA

ENOCK AKIWA KATIKA SAFARI

TUCASA IFM WASHIRIKI HARUSI YA PILI NA YUDA HUKO MAGODANI KUNDI LA MZIZIMA SDA CHURCH

Harusi ya wapendwa hawa imefanyika leo MAGODANI nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na wanafunzi waadventista wasabato toka chuo cha usimamizi wa fedha (IFM ) walishiriki mahali hapa.

MAHARUSI WAKIWA NA WATOTO WANAOSIMAMIA HARUSI HIYO

FAMILIA YA IFM WAKITOA ZAWADI SIKU HII YA FURAHA,KUTOKA KUSHOTO NI RUTH,ISRAEL,MJEMA NA HAPPY

DADA HOLLO AKIWA KATIKA MAJUKUMU

MAHARUSI WAKIWA NA WASIMAMIZI WAO

MIKUTANO WA JUMA MOJA UMEANZA JANA TAREHE 24 MARCH 2014

GWIRISHA MJEMA KATIKA MANDALIZI YA MKUTANO

JOSHUA KATIKA MANDALIZI SIKU YA

Ni mkutano wenye mwito wa kuwarudisha wana na biniti za MUNGU zizini kuwea kuitwa warithi pamoja nae katikaa ufalme..

Katika juma hili kutakuwa huduma ya uimbaji toka kwa waimbaji ikiwa sambamba na kwaya TUCASA IFM...

SUBZONE MPYA YA BAGAMOYO YATENGWA RASMI

JUMAMOSI YA TAREHE 8/3/2014 VIONGOZ WA DAR ZONE WALIKWENDA BAGAMOYO KUFUNGUA  ZONE MPYA AMBAYO ITASAIDIA KATIKA UFANIKISHAJI WA KAZI YA MUNGU KATIKA VYUO VINAVYOPATIKANA BAGAMOYO...
VIONGOZI WAPYA WA SUBZONE

WAKISIKILIZA MANENO KUTOKA KWA PR YOYO

PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI TOFAUTI TOKA MACHIMBO SDA CHURCH KULIKOKUWA HITIMISHO LA JUMA LA UINJILSTI

Ni siku ya sabato ya pekee ambapo kanisa la MACHIMBO huko Kitunda likiwa katika hitimisho la juma uinjilisti ambapo wana wa MUNGU toka sehemu mbalimbali walikuja kushiriki na kanisa kwa kusudi la uinjilisti..

Baadhi ya programs zilikuwa mahala hapa ni masomo ya Afya, Ujasiliamali na vipindi vya uimbaji

TAMASHA LA 7 7 JUMAPILI -- TUCASA IFM KWAYA WAKIWA WANAIMBA

RAFIKI ZETU FAMILY MUSIC WAKIIMBA

IFM CHOIR

Ni tamasha lililoandaliwa na JCB STUDIO likidhaminiwa na TABASAM TANZANIA na MTANGAZAJI BLOG,kwa siku hii walikuja waimbaji toka sehem mbalimbali mwa Tanzania kwa kutoa ujumbe kwa njia ya uimbaji kama vile;-OOLA,FAMILY MUSIC,HOLY REUNION,LIGHT BEARERS na wengine wengi...

PICHA ZA MATUKIO TOKA MAGODANI TULIKOKUWA KWA KUSUDI LA UINJILISTI

Ni juma moja lakini lilikuwa lenye mibaraka mingi kwani uinjilisti wa nyumba kwa nyumba uliofanywa na vijana wa TUCASA IFM wakishirikiana na kanisa mama la MZIZIMA,tumepata uzoefu mpya juu ya uinjisti na jinsi ya kuwafikia watu tofautitofauti kwa kusudi la injili....

WADAU WAKIPATA CHAKULA MOJA KATI YA MATUKIO HUKU MAGODANI

SILIVAN AKIPATA UGALI WA DONA NA MBOGA ZA AFYA

UAMSHO NA MATENGENEZO