Ni kwaya ya Tucasa ifm yenye historia fupi ya kuwa na nyimbo za taratibu na zenye muitikio wa uinjilisti.Sabato ya tarehe 1FEBRUARY,2014 ikiwa na waimbaji wake kama;-Lubigisa,Maduhu,Gwilisha,Mchome,Anna,Irene,Ruth,Eva,Naomi,Sifuni,Ian,Ike,Ibrahim,Obed,Kato,Joshua na Elisha...
Sabato ya kesho kwaya ya Tucasa ifm kuhudumu kanisa mahalia na lezi,Mzizima ni kipindi cha shule sabato KARIBU SANA!!!

No comments: